"Asubui Na Mapema"
— в исполнении Trio Mio , Kristoff Mwb
«Asubui Na Mapema» — песня в исполнении кенийский, выпущенная 04 декабрь 2024 на официальном канале звукозаписывающей компании — «Trio Mio & Kristoff Mwb». Откройте для себя эксклюзивную информацию о "Asubui Na Mapema". Найдите текст песни Asubui Na Mapema, переводы и факты о песнях. Доходы и чистая стоимость накапливаются за счет спонсорства и других источников в соответствии с информацией, найденной в Интернете. Сколько раз песня "Asubui Na Mapema" появлялась в составленных музыкальных чартах? «Asubui Na Mapema» — это известное музыкальное видео, которое занимало места в популярных топ-чартах, таких как «100 лучших Кения песен», «40 лучших кенийский песен» и т. д.
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Asubui Na Mapema" Факты
"Asubui Na Mapema" достигло 372.7K общего количества просмотров и 22.1K лайков на YouTube.
Песня была отправлена 04/12/2024 и провела в чартах 4 недель.
Оригинальное название видеоклипа — «KRISTOFF MWB FT TRIO MIO - ASUBUI NA MAPEMA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)».
«Asubui Na Mapema» был опубликован на Youtube по адресу 04/12/2024 09:00:06.
"Asubui Na Mapema" Лирика, композиторы, лейбл звукозаписи
Kristoff MWB & @TrioMioOfficial performing their latest single 'Asubui Na Mapema'.
ASUBUHI NA MAPEMA LYRICS
Kristoff MWB X TrioMio
Intro
King wa banger nimerudi na ubaya
Nimerudi na zawadi toka pande za ulaya
Walithani nimeretire ,
Kumbe mi Ndo wana require,
Mina Leta vitu fire kwa ,hii business.
Eeeh yaaah
Asubuhi na mapema zimeshika,
N'toe lock nimetema tuma litre,
Wajakoya Wajakoya jaza rizzler,
Usinyonge tuma text taja sista,
Siku njema huonekana after giza.
Nikitema nawateka na mirista
Pararira early morning keep a distance
Kama ibada nikiamka ni mambichwa.
CHORUS ONE
Mi uwashanga ngwai, asubuhi na mapema x2
Napokea salary asubuhi na mapema X2
Ndani ya bar niko tayari
asubuhi na mapema X2
Nachapa dame ana zirai
asubuhi na mapema X2
Wanalalisha tuki rise Tuko on
asubuhi na mapema
Tuko on!!
asubuhi na mapema
Changamka Changamka ,tuko on
asubuhi na mapema
Tuko on!!
asubuhi na mapema
VERSE KristoffMwb
Early bird kwa streets,
Ndo uwanga tu my norm,
Juu ndege za asubuhi,
Ndo uangukianga ma worm
Nyege za asubuhi ni za mtoto ananikeep warm,
Niko na ngede wa asubuhi ,
Lunchtime mpaka jioni.
No time to waste, ni Go time
So nta spend more time US na bow tie,
Kwa event na ma boss sawa,
Wanatambua kristoff sana
Boss sawa (saawaaaa)
Wahenga wa skuizi wanaleweshwa na best,
Baridi inampiga na ame dunga ka vest
Miti imemshika ana ji feel the best,
Na advice, za ujinga anatry kutu impress.
CHORUS 2
Mi uwashanga ngwai, asubuhi na mapema x2
Napokea salary asubuhi na mapema X2
Ndani ya bar niko tayari
asubuhi na mapema X2
Nachapa dame ana zirai
asubuhi na mapema X2
Wanalalisha tuki rise Tuko on
asubuhi na mapema
Tuko on!!
asubuhi na mapema
Changamka Changamka ,tuko on
asubuhi na mapema
Tuko on!!
asubuhi na mapema
VERSE TrioMio
Yah cheki
Juzi nmefukuza ngeus asubuhi na mapema
Nilikakula na nawish ningeeza tema
Nilikateka na lighting ya pale bukla
unafika kwa nyumba dem anafanana Chaka Demus
Mapema ndo best, asubuhi ina kismet
Kabla umeditate, unaasha mali fisa
Ikuondolee mapepo na swara zimekuzingra
Stick ya ngware simba ni imara utanyora Pilsner
Fixture, mechi ni early kickoff
Morning glory scripture, Father Benedicto
Misa ni ya kwanza wamtume Trio kwa tiplo
Asubuhi mapema dem yako anagongwa ndipooo.
CHORUS 3
Mi uwashanga ngwai, asubuhi na mapema x2
Napokea salary asubuhi na mapema X2
Ndani ya bar niko tayari
asubuhi na mapema X2
Nachapa dame ana zirai
asubuhi na mapema X2
Wanalalisha tuki rise Tuko on
asubuhi na mapema
Tuko on!!
asubuhi na mapema
Changamka Changamka ,tuko on
asubuhi na mapema
Tuko on!!
asubuhi na mapema